Hii ilifanyika simu ya sherehe ya kuzaliwa ya Tanasha Donna na Mama mkwe wake ( Mama diamond platnumz ) Bi. Sandra, Diamond platnumz na Tanasha Donna wanatarajia kupata mtoto wa kiume kutoka na maelezo ya Diamond platnumz aliyoweka wazi katika kurasa yake ya Instagram.
0 Maoni