Afisa mtendaji wa kibiti auawa na nyumba yake kuchomwa moto, kutokana na reporter wetu, majambazi 7 walikamatwa na mpaka sa hizi hwajatoa ukweli kuhusu chanzo cha mauaji yao.