Tunaendelea na hadithi yetu.....
Nikiwa ndotoni nikamuona mwanamke mzuri ameketi mbele yangu huku akipapasa kifua changu nikiwa kama sijitambui akili yangu, akanivua nguo zangu kisha naye kuvua zake, kwa sababu nilikuwa nimesha kwiva kwenye mnala (uume ) siunajua wanaume kama sifuria ukilipasha moto ni sekunde tu limedhachemka, basi akapanda juu ya maumbile yangu tu tukafanya mapenzi kwa bashasha zote, nikiwa katika hisia juu ghafla mwanamke macho yake yakawaka mithili ya moto nusura kunichoma, nikashtuka ndotonii
MIMI; nikawa na hofu kubwa ilotanda na kujiuliza ndoto ile ina maana gani, Lakini nilipotazama maumbile yangu nilijiona kabisa nilikuwa na mwanamke ndani tukifanya mapenzi ndio hofu ilizidi kunishika, kiukweli usiku huo sikulala kabisaaaa!
Asubuhi ilipofika nilikuta chai iko tayari mezani, maji ya kuoga yamechemshwa na nyumba imefanyiwa usafi wa hali ya juu,
KURUSUMU; "Kaka, karibu maji ya kuoga maana utakuwa na uchovu mkubwa, pia ukimaliza kuoga chai iko tayari
MIMI; Nikajibu, "asante kurusumu" lakini nilibaki kwenye mawazo, je, kurusumu kafahamje kuwa mi nina uchovu wakati jana niliporudi nimeoga na kulala pasipo mchoko wowote? Duuh! Nilikosa jibu kiukweli kisha nikaenda kuoga,
Baada ya kuoga bilikunywa chai na kama kwaida ya siku zote nilimchukua kurusumu na kumpeleka tegeta ili aweze kumtafuta kaka yake.
MIMI; baada ya kumpeleka kurusumu tegeta, nilirudi ubungo stand ya mabasi niendelee kutafuta ridhiki na kazi yangu ya udereva Tax, siku hiyo nilikuwa sina raha kabisa mpaka rafiki zangu walilitambua maana mimi ni mcheshi sana.
DMB; rafiki yangu vip leo mwanangu mbona nyuti sana au ule mzigo ulioupata umekukomba gheto nini? Maana ndg yangu kuamini mtu usiye mjua kwa usawa huu duuh! Ni ishu jombaa
MIMI; "hamna mwanangu najihisi homa tu ngoja niende hospitali nikacheki,
NIKAONDOJA KIJIWENI NA KWENDA NYUMBANI KUTULIZA AKILI YANGU, CHA AJABU NILIPOFIKA NYUMBANI NILIKUTA NYUMBA CHAFU TENA SASA NIKASHINDWA KUELEWA, MMH! MBONA NYUMBA ASUBUHI ILIKUWA SAFI? MASHAKA YALINIZIDI SANA, GHAFLA NIKASIKIA MLANGO UNAGONGWA NJE, KISHA NIKAENDA KUANGALIA MTU ANAYEBISHA HODI HIYO, NILIPOFUNGUA MLANGO HUWEZI KUAMINI ALIKUWA NI KURUSUMU,
MIMI; Nikamuuliza " kulikoni mama sinimekuacha tandale saa mija lillipita?
KURUSUMU; Akahibu " ndio ila nina zawadi yako"
MIMI; Kwa mshangao " zawadi gani!
KURUSUMU; "Twende mpaka jikoni ndiko iliko"
MIMI; nilikubali ila kwa hofu na mashaka kisha tukaenda jikoni
KURUSUMU; " Fumba macho"
MIMI; Nikafumba
Baaada ya muda mfupi...
KURUSUMU; "Fumbua macho yako"
NILUPOKUJA KUFUMBUA MACHO HUWEZI KUAMINI NILIKUTA KEKI IMEANDIKWA HAPPY BIRTHDAY VICTOR
KURUSUMU; "najua utashangaa nimejuaje siku yako ya kuzaliwa, ila uliponikabidhi chumba changu cha kulala nilikuta kadi yako ya mpiga kura ndipo nikajua bado siku mbili ifike siku yako ya kuzaliwa VICTOR happy birthday kaka ( ilikuwa tareh 30 mwezi wa 10
MIMI; Ghafla nikaondokwa na hofu, nikazima mishumaa ile kwa furaha tayar kuikata keki, siku hiyo huwezi amini nilimkumbatia kwa muda kurusumu na kuona kiasi gani anachonijali
KURUSUMU; Akasema " pia leo nina furaha kukuambia nimempata kaka yangu na baada ya hapa nilikuwa nimeijia mizigo ili niweze kuelekea kwake,
MIMI; " Asante kurusumu nilikuwa sijui kiasi gani unachonithamini ila leo nimejua, nashukuru kwa keki ysko ya birthday na ninashukuru kuona kwamba ulikuwa unanijali
BAADA YA KULA KEKI NA MAZUNGUMZO KIASI, KURUSUMU ALINIAGA NA KUNISHUKURU KWA FADHILA ZANGU KWAKE NA KUAHIDI IPO SIKU ATANILIPA KWA WEMA WANGU NILIOMTENDEA
MIMI; " Usijali kurusumu sikufanya yote ili uje kunilipa, nilifanya toka ndani ya moyo wangu
BAADA YA HAPO NIKAMCHUKUA KUMPELEKA KWA KAKA YAKE TEGETA HUKU NIKITAMANI ABAKI KWANGU NIENDELEE KUISHI NAYE KWA KUWA NILIMZOEA SANA,
Tulipofika tegeta, afrikana kwa kaka yake.........itaendelea kesho jumanne
0 Maoni