Inaendelea....
Baada ya yule paka kuondoka nilibaki mdomo wazi kwa kusema hivi tangu lini paka akaongea!, kiukweli niliingiwa na hofu.
Nilielekea kijiweni kwangu na kuwasimulia rafiki zangu kisa hicho lakini waliniona kama mtu aliyekosa hadithi na kutunga chumvi za bunuasi ili kijiwe kichangamke, mara nikasikia "Jimmy" kutazama nyuma nikamuona kuruthumu
MIMI; Aaaah! Umependeza mama kama malaika yaaan mpaka nimekupotea kwa kweli"
KURUTHUMU; (Akacheka kidogo) " mambo ya kaka hayo"
MIMI; enhee! Kipi kimekuleta huku kijiweni kwangu? Usinambie umepotea tena! ( huku nkitabasamu)
KURUTHUMU; Hapana, ila nilikuwa namaongezi mafupi na wewe kama hutojali"
MIMI; Aaaah! Lini tena kuongea nami unaomba ruhusa? We sema tu..
TUKAELEKEA PEMBENI KWA MAONGEZI, BAADA YA MUDA,
MIMI; usinitanie bwana kuruthumu,
KURUTHUMU; "kweli jimmy nakupenda, nimetambua hilo tangu siku unisaidie, pia siku nilizoishi kwako, nimeona wewe ndio chaguo sahihi kwangu" nielewe jimmy.....
MIMI; Ukweli sikuwa na kipingamizi na kumwahidi kuwa tutakutana beach Wikiendi ili tuzungumzie mapenzi yetu..
Itaendelea jumamosi........
0 Maoni