Nabii Titto aja na hii tena ya ushoga, aisifia nyimbo ya diamond platnumz na kusema kwamba " si vibaya wala dhambi mtumishi wa mungu kucheza bongo flava "